sw_tw/bible/other/yoke.md

12 lines
566 B
Markdown

# Nira
## Ufafanuzi
Nira ni kipande cha mbao au chuma kinachowekwa kwa wanyama wawili au zaidi ili kuwaunganisha kwa ajili ya lengo la kuvuta plau au gari.
* Pia nira imetumika kuelezea kitu kilichowaunganisha watu kwa ajili ya lengo la kufanya kazi pamoja kwa mfano kumtumikia Yesu.
* Paulo anatumia neno "mjoli" kumaanisha mtu anayemtumikia Yesu kama alivyo.
* Neno "nira" pia linaweza kutumika kama mzigo mzito ambao mtu anaubeba kwa mfano anayetumikishwa utumwani au kwenye mateso.
* Namna nyingine ya kutafsiri neno hili waweza kutumia neno "mzigo mzito".