sw_tw/bible/other/word.md

12 lines
393 B
Markdown

# Neno
## Ufafanuzi
Neno ni kitu ambacho mtu husema.
* Kwa mfano wakati ambao malaika alimwambia Zakaria "hauamini maneno yangu," alikuwa na maana ya kuwa "huamini nilichokisema."
* Neno humaanisha ujumbe mzima na sio neno moja.
* Kwenye Biblia neno ni kilakitu alichosema Mungu au kuamuru, "neno la Mungu" au "neno la kweli."
* Matumizi ya pekee ya neno ni wakati Yesu anapoitwa "neno."