sw_tw/bible/other/word.md

393 B

Neno

Ufafanuzi

Neno ni kitu ambacho mtu husema.

  • Kwa mfano wakati ambao malaika alimwambia Zakaria "hauamini maneno yangu," alikuwa na maana ya kuwa "huamini nilichokisema."
  • Neno humaanisha ujumbe mzima na sio neno moja.
  • Kwenye Biblia neno ni kilakitu alichosema Mungu au kuamuru, "neno la Mungu" au "neno la kweli."
  • Matumizi ya pekee ya neno ni wakati Yesu anapoitwa "neno."