sw_tw/bible/other/waste.md

10 lines
475 B
Markdown

# Tapanya, nyika
## Ufafanuzi
Kutapanya kitu ni kukitupa au kutokukitumia kwa hekima. Nchi ambayo ni nyika ni nchi au mji ulioharibiwa ili kitu chochote kisiishi ndani yake tena.
* "Kuchakaa" inamaana ya kuwa na ugonjwa au kuharibiwa. Mtu aliyechakaa maranyingi anakuwa mwembamba kutokana na ugonjwa au kukosa chakula.
* Neno lingine linalomaanisha nyika nin jangwa. Lakini nyika pia inamaanisha kuwa watu waliishi hapo na nchi ilikuwa na miti na mimea inayotoa chakula.