sw_tw/bible/other/waste.md

475 B

Tapanya, nyika

Ufafanuzi

Kutapanya kitu ni kukitupa au kutokukitumia kwa hekima. Nchi ambayo ni nyika ni nchi au mji ulioharibiwa ili kitu chochote kisiishi ndani yake tena.

  • "Kuchakaa" inamaana ya kuwa na ugonjwa au kuharibiwa. Mtu aliyechakaa maranyingi anakuwa mwembamba kutokana na ugonjwa au kukosa chakula.
  • Neno lingine linalomaanisha nyika nin jangwa. Lakini nyika pia inamaanisha kuwa watu waliishi hapo na nchi ilikuwa na miti na mimea inayotoa chakula.