sw_tw/bible/other/virgin.md

11 lines
297 B
Markdown

# Bikira
## Ufafanuzi
Bikira ni mwanamke ambaye hajawahi kuwa na mahusiano ya ngono.
* Nabii Isaya alisema kuwa Masihi atazaliwa na bikira.
* Mariamu alikuwa Bikira alipokuwa na mimba ya Yesu. Yesu hakuwa na baba wa kibinadamu.
* Lugha nyingine zaweza kuwa na neno zuri badala ya neno bikira.