sw_tw/bible/other/virgin.md

297 B

Bikira

Ufafanuzi

Bikira ni mwanamke ambaye hajawahi kuwa na mahusiano ya ngono.

  • Nabii Isaya alisema kuwa Masihi atazaliwa na bikira.
  • Mariamu alikuwa Bikira alipokuwa na mimba ya Yesu. Yesu hakuwa na baba wa kibinadamu.
  • Lugha nyingine zaweza kuwa na neno zuri badala ya neno bikira.