sw_tw/bible/other/upright.md

11 lines
372 B
Markdown

# unyofu
## Ufafanuzi
Neno "unyofu" ueleza kutenda kwa namna inayo fuata sheria za Mungu.]
* Maana ya hili neno ni pamoja kusimama wima na kuangalia mbele.
* Mtu aliye "mnyofu" ni mtu anaye tii maagizo ya Mungu na hafanyi vitu vilivyo nje ya mapenzi yake.
* Maneno kama "uadilifu" na "haki" yana maana moja na wakati mwingine utumika sambamba kama "audilifu na haki."