sw_tw/bible/other/upright.md

372 B

unyofu

Ufafanuzi

Neno "unyofu" ueleza kutenda kwa namna inayo fuata sheria za Mungu.]

  • Maana ya hili neno ni pamoja kusimama wima na kuangalia mbele.
  • Mtu aliye "mnyofu" ni mtu anaye tii maagizo ya Mungu na hafanyi vitu vilivyo nje ya mapenzi yake.
  • Maneno kama "uadilifu" na "haki" yana maana moja na wakati mwingine utumika sambamba kama "audilifu na haki."