sw_tw/bible/other/unlawful.md

826 B

kinyume cha sheria

Ufafanuzi

Maneno "kinyume cha sheria" na "sio kisheria" yanatumika kueleza matendo yanayo vunja sheria.

  • Katika Agano Jipya, neno "kinyume cha sheria" sio tu la tumika kueleza kuvunja amri ya Mungu, bali pia kuvunja sheria za Kiyahudi.
  • Baada ya miaka, Wayahudi waliongeza kwenye sheria Mungu alizowapa. Viongozi wa Kiyahudi waliita kitu "kinyume cha sheria" kama hakikuendana na sheria zao wao.
  • Yesu na wanafunzi wake walipo kuwa wana nyofoa nafaka siku ya Sabato, Mafarisayo waliwashtaki kufanya "kinyume cha sheria" kwasababu ilikuwa ina vunja sheria za Wayahudi za kutofanya kazi hiyo siku.
  • Wakati Petro alipo sema kula chakula najisi ni "kinyume cha sheria" kwake, alimaanisha kama angekula vyakula angekuwa na vunja sheria Munug alizo wapa Waisraeli kuhusu kuto kula baadhi ya vyakula.