sw_tw/bible/other/unclean.md

767 B

chafu

Ufafanuzi

Katika Biblia, neno "chafu" utumika kama fumbo kueleza vitu ambavyo Mungu alitangaza sio sahihi kwa watu wake kugusa,kula, au kutoa dhabihu.

  • Mungu aliwapa Waisraeli maelekezo kuhusu mnyama yupi alikuwa "msafi" na yupi alikuwa "mchafu." Wanyama wachafu hawakuruhusiwa kutumika kula au kutolea dhabihu.
  • Watu wenye aina fulani ya ugonjwa wa ngozi walisemekana kuwa "wachafu" mpaka walipo ponywa.
  • Waisraeli kama walipo shika kitu "kichafu" wao wenyewe walihesabika kuwa wachafu kwa kipindi cha muda fulani.
  • Kutii amri za Mungu kuhusu kutogusa au kula vitu vichafu kuliwatenga Waisraeli kwa huduma ya Mungu.
  • Hii hali ya uchafu wa mwili na mila ilikuwa ishara ya uchafu wa kijamii.
  • Maana nyingine ya fumbo, "roho chafu" ina eleza pepo.