sw_tw/bible/other/tribute.md

11 lines
536 B
Markdown

# ushuru
## Ufafanuzi
Neno "ushuru" la husu zawadi kutoka kwa mtawala mmoja kwenda kwa mwingine, kwa kusudi la ulinzi na mausiano mema kati ya mataifa yao.
* Ushuru unaweza kuwa malipo ambayo mtawala au serikali ina itaji kutoka kwa watu, kama kodi.
* Katika Biblia, wafalme wasafiri au watawala walilipa ushuru kwa mfalme wa eneo waliyo kuwa wanasafiri kupita kuhakikisha watalindwa na kuwa salama.
* Mara nyingi ushuru una jumuisha vitu vingine kuacha pesa, kama vya kula, manukato, nguo za bei, na vitu vya gharama kama dhahabu.