536 B
536 B
ushuru
Ufafanuzi
Neno "ushuru" la husu zawadi kutoka kwa mtawala mmoja kwenda kwa mwingine, kwa kusudi la ulinzi na mausiano mema kati ya mataifa yao.
- Ushuru unaweza kuwa malipo ambayo mtawala au serikali ina itaji kutoka kwa watu, kama kodi.
- Katika Biblia, wafalme wasafiri au watawala walilipa ushuru kwa mfalme wa eneo waliyo kuwa wanasafiri kupita kuhakikisha watalindwa na kuwa salama.
- Mara nyingi ushuru una jumuisha vitu vingine kuacha pesa, kama vya kula, manukato, nguo za bei, na vitu vya gharama kama dhahabu.