sw_tw/bible/other/tribulation.md

11 lines
482 B
Markdown

# dhiki
## Ufafanuzi
Neno "dhiki" la husu kipindi cha ugumu, mateso, na msongo wa mawazo.
* Agano Jipya lina sema kwamba Wakristo watavumilia kipindi cha mateso na dhiki tofauti kwasababu watu wengi ulimwenguni wana fahamu mafundisho ya Yesu.
* Biblia inatumia neno "Dhiki kuu" kueleza kipindi cha Muda kabla ya Yesu kurudi mara ya pili amabapo gadhabu ya Mungu itamwaga duniani kwa miaka kadhaa.
* Neno "dhiki" la weza tafsiriwa kama, "kipindi cha mateso sana" au "hali ngumu"