sw_tw/bible/other/tribulation.md

482 B

dhiki

Ufafanuzi

Neno "dhiki" la husu kipindi cha ugumu, mateso, na msongo wa mawazo.

  • Agano Jipya lina sema kwamba Wakristo watavumilia kipindi cha mateso na dhiki tofauti kwasababu watu wengi ulimwenguni wana fahamu mafundisho ya Yesu.
  • Biblia inatumia neno "Dhiki kuu" kueleza kipindi cha Muda kabla ya Yesu kurudi mara ya pili amabapo gadhabu ya Mungu itamwaga duniani kwa miaka kadhaa.
  • Neno "dhiki" la weza tafsiriwa kama, "kipindi cha mateso sana" au "hali ngumu"