sw_tw/bible/other/trample.md

12 lines
579 B
Markdown

# kanyaga
## Ufafanuzi
"Kanyaga" ina maana ya kukanyaga kitu na kukisaga kwa mguu. Neno pia utumika kimfano katika Biblia kumaanisha "haribu" au "shinda" au "aibisha."
* Mfano wa "kukanyaga" utakuwa kama watu wakikimbia katika shamba la nyasi na kusigina nyasi na miguu yao.
* Zama za kale, mvinyo mara nyingine ulifanywa kwa kukanyaga mizabibu kuondoa juisi ndani yake.
* Wakati mwingine neno "kanyaga" lina maana ya umbo likimaanisha luadhibu kwa kuaibisha.
* Neno "kanyaga" linatumika kiumbo kueleza jinsi Yahweh atavyo wadhibu watu wake Israeli kwa kiburi chao na uhasi.