sw_tw/bible/other/trample.md

579 B

kanyaga

Ufafanuzi

"Kanyaga" ina maana ya kukanyaga kitu na kukisaga kwa mguu. Neno pia utumika kimfano katika Biblia kumaanisha "haribu" au "shinda" au "aibisha."

  • Mfano wa "kukanyaga" utakuwa kama watu wakikimbia katika shamba la nyasi na kusigina nyasi na miguu yao.
  • Zama za kale, mvinyo mara nyingine ulifanywa kwa kukanyaga mizabibu kuondoa juisi ndani yake.
  • Wakati mwingine neno "kanyaga" lina maana ya umbo likimaanisha luadhibu kwa kuaibisha.
  • Neno "kanyaga" linatumika kiumbo kueleza jinsi Yahweh atavyo wadhibu watu wake Israeli kwa kiburi chao na uhasi.