sw_tw/bible/other/terror.md

11 lines
412 B
Markdown

# woga, kuogopesha
## Ufafanuzi
Neno "woga" uelezea hisia ya hofu kuu. "Kuogopesha" mtu ina maana ya kusababisha huyo mtu kujisikia wasi wasi sana.
* "Woga" ni kitu au mtu anaye sababisha hofu kubwa.
* Hizi oga zinaweza elezwa kama "kuogopesha." Hili neno la weza tafsiriwa kama, "kisababisha hofu" au "kizalisha woga"
* Hukumu ya Mungu wakati mmoja itasababisha woga kwa wasio tubu waliyo kataa neema yake.