sw_tw/bible/other/terror.md

412 B

woga, kuogopesha

Ufafanuzi

Neno "woga" uelezea hisia ya hofu kuu. "Kuogopesha" mtu ina maana ya kusababisha huyo mtu kujisikia wasi wasi sana.

  • "Woga" ni kitu au mtu anaye sababisha hofu kubwa.
  • Hizi oga zinaweza elezwa kama "kuogopesha." Hili neno la weza tafsiriwa kama, "kisababisha hofu" au "kizalisha woga"
  • Hukumu ya Mungu wakati mmoja itasababisha woga kwa wasio tubu waliyo kataa neema yake.