sw_tw/bible/other/subject.md

10 lines
372 B
Markdown

# lsio huru, kuwa chini ya, chini ya
## Ufafanuzi
Neno "sio huru" la eleza kuwa chini ya mamlaka ya mtu. Maneno "kuwa chini ya" ni amri inayo maanisha "tii" au "nyenyekea mamlaka ya."
* Msemo "chini ya" ya eleza kusababisha watu kuwa chini ya mamlaka ya kiongozi au mtawala.
* "Kumueka mtu chini ya kitu" ina maana kusababisha huyo mtu kupitia kitu hasi, kama adhabu.