sw_tw/bible/other/subject.md

372 B

lsio huru, kuwa chini ya, chini ya

Ufafanuzi

Neno "sio huru" la eleza kuwa chini ya mamlaka ya mtu. Maneno "kuwa chini ya" ni amri inayo maanisha "tii" au "nyenyekea mamlaka ya."

  • Msemo "chini ya" ya eleza kusababisha watu kuwa chini ya mamlaka ya kiongozi au mtawala.
  • "Kumueka mtu chini ya kitu" ina maana kusababisha huyo mtu kupitia kitu hasi, kama adhabu.