sw_tw/bible/other/strongdrink.md

11 lines
437 B
Markdown

# kinywaji kikali
## Ufafanuzi
Neno "kinywaji kikali" ina eleza vinywaji vilivyo zindikwa na vina vilevi.
* Vinywaji vya vilevi utengenezwa na nafaka au matunda na vimepitia njia ya kuzindikwa.
* Aina ya "kinywaji kikali" ni mvinyo wa mzabibu, mvinyo wa mtende, bia. Katika Biblia, mvinyo wa mzabibu ndio unao tumika sana.
* Makuhani na mtu ye yote walio chukuwa kiapo maalumu kama "kiapo cha Naziri" hawaku ruhusiwa kunywa kilevi.