sw_tw/bible/other/strongdrink.md

437 B

kinywaji kikali

Ufafanuzi

Neno "kinywaji kikali" ina eleza vinywaji vilivyo zindikwa na vina vilevi.

  • Vinywaji vya vilevi utengenezwa na nafaka au matunda na vimepitia njia ya kuzindikwa.
  • Aina ya "kinywaji kikali" ni mvinyo wa mzabibu, mvinyo wa mtende, bia. Katika Biblia, mvinyo wa mzabibu ndio unao tumika sana.
  • Makuhani na mtu ye yote walio chukuwa kiapo maalumu kama "kiapo cha Naziri" hawaku ruhusiwa kunywa kilevi.