sw_tw/bible/other/staff.md

12 lines
502 B
Markdown

# gongo
## Ufafanuzi
Ngo ni fimbo ndefu ya mbao, utumika kama fimbo ya kutembelea.
* Yakabo alipokuwa mzee, alitumia bakora kumsaidia kutembea.
* Mungu aligeuza gongo la Musa kuwa nyoka kuonyesha nguvu yake kwa Farao.
* Wachungaji pia walitumia gongo kusaidia kuongoza kondoo zao, au kuokoa kondoo walipo anguka au kupotea.
* Gongo la mchungaji lilikuwa na kishikio mwisho, kilicho kuwa tofauti na bakora ya mchungaji, lililo kuwa wima na lilitumika kuua wanyama waliyo jaribu kushambulia kondoo.