502 B
502 B
gongo
Ufafanuzi
Ngo ni fimbo ndefu ya mbao, utumika kama fimbo ya kutembelea.
- Yakabo alipokuwa mzee, alitumia bakora kumsaidia kutembea.
- Mungu aligeuza gongo la Musa kuwa nyoka kuonyesha nguvu yake kwa Farao.
- Wachungaji pia walitumia gongo kusaidia kuongoza kondoo zao, au kuokoa kondoo walipo anguka au kupotea.
- Gongo la mchungaji lilikuwa na kishikio mwisho, kilicho kuwa tofauti na bakora ya mchungaji, lililo kuwa wima na lilitumika kuua wanyama waliyo jaribu kushambulia kondoo.