sw_tw/bible/other/slain.md

10 lines
285 B
Markdown

# chinja, chinjwa
## Ufafanuzi
Neno "chinja" lina maana ya kuua mtu au mnyama. Mara nyingi ina maana ya kuua kwa vita au vurugu.
* Neno "ua" la weza pia tumika kutafsiri hili neno.
* Maneno "waliyo chinjwa" ya weza pia tumika kutafsiri "watu waliyo chinjwa" au "watu waliyo uawa."