sw_tw/bible/other/slain.md

285 B

chinja, chinjwa

Ufafanuzi

Neno "chinja" lina maana ya kuua mtu au mnyama. Mara nyingi ina maana ya kuua kwa vita au vurugu.

  • Neno "ua" la weza pia tumika kutafsiri hili neno.
  • Maneno "waliyo chinjwa" ya weza pia tumika kutafsiri "watu waliyo chinjwa" au "watu waliyo uawa."