10 lines
477 B
Markdown
10 lines
477 B
Markdown
# zingira, kuzingira
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Neno "kuzingira" la husu pale jeshi shambulizi linapo zunguka mji na kuusababisha usiweze kupokea maitaji na maji. "Kuzingira" mji ina maana kusababisha mji kuwa chini ya kuzungukwa.
|
|
|
|
* Wakati Babiloni ilipo kuja kushambulia Israeli, walitumia mbinu ya kuzingira Yerusalemu kudhohofisha watu kwenye mji.
|
|
* Mara nyingi wakati wa kuzingira, mapande ya mchanga yana undwa taratibu kuwezesha jeshi shambulizi kuvuka kuta za mji na kuvamia mji.
|
|
|