sw_tw/bible/other/siege.md

477 B

zingira, kuzingira

Ufafanuzi

Neno "kuzingira" la husu pale jeshi shambulizi linapo zunguka mji na kuusababisha usiweze kupokea maitaji na maji. "Kuzingira" mji ina maana kusababisha mji kuwa chini ya kuzungukwa.

  • Wakati Babiloni ilipo kuja kushambulia Israeli, walitumia mbinu ya kuzingira Yerusalemu kudhohofisha watu kwenye mji.
  • Mara nyingi wakati wa kuzingira, mapande ya mchanga yana undwa taratibu kuwezesha jeshi shambulizi kuvuka kuta za mji na kuvamia mji.