sw_tw/bible/other/shrewd.md

10 lines
251 B
Markdown

# erevu
## Ufafanuzi
Neno "erevu" la elezea mtu enye akili na mahiri, hususani katika mambo ya utendaji.
* Mara kadhaa "erevu" lina maana hasi kwa sehemu tangu linatumika kuonyesha ubinafsi.
* Mtu erevu mara nyingi anaji tazama yeye, sio wengine.