sw_tw/bible/other/shrewd.md

251 B

erevu

Ufafanuzi

Neno "erevu" la elezea mtu enye akili na mahiri, hususani katika mambo ya utendaji.

  • Mara kadhaa "erevu" lina maana hasi kwa sehemu tangu linatumika kuonyesha ubinafsi.
  • Mtu erevu mara nyingi anaji tazama yeye, sio wengine.