sw_tw/bible/other/royal.md

12 lines
462 B
Markdown

# Ufalme
## Ufafanuzi
Neno ufalme linawaelezea watu au vitu ambavyo vinahusiana na mfalme au malkia.
* Mfano wa vitu vinavyoweza kuitwa vya kifalme ni kama mavazi ya mfalme, nyumba ya kifalme au taji.
* Mfalme na malkia huwa wanaishi katika nyumba ya kifalme.
* Mfalme huvaa mavazi maalumu yaitwayo "nguo ya kifalme." Mara nyingi nguo hii huwa na rangi ya zambarau ambayo ilikuwa hadimu na ya bei ghali.
* Katika agano jipya Yesu aliitwa kuhani wa kifalme.