sw_tw/bible/other/royal.md

462 B

Ufalme

Ufafanuzi

Neno ufalme linawaelezea watu au vitu ambavyo vinahusiana na mfalme au malkia.

  • Mfano wa vitu vinavyoweza kuitwa vya kifalme ni kama mavazi ya mfalme, nyumba ya kifalme au taji.
  • Mfalme na malkia huwa wanaishi katika nyumba ya kifalme.
  • Mfalme huvaa mavazi maalumu yaitwayo "nguo ya kifalme." Mara nyingi nguo hii huwa na rangi ya zambarau ambayo ilikuwa hadimu na ya bei ghali.
  • Katika agano jipya Yesu aliitwa kuhani wa kifalme.