sw_tw/bible/other/rod.md

14 lines
691 B
Markdown

# Fimbo
## Ufafanuzi
Fimbo hiki ni kifaa chembamba kama fimbo kinachotumika kwa njia mbali mbali.
* Fimbo ya mbao inatumiwa na mchungaji kuwalinda kondoo dhidi ya wanyama wengine. Pia kwa ajili ya kumrejesho katika kundi kondoo anayetangatanga.
* Katika Zaburi ya 23 mfalme Daudi anatumia maneno fimbo na gongo kuelezea mwongozo wa Mungu na nidhamu kwa watu wake.
* Fimbo ya mchungaji pia ilitumika kuhesabia mifugo.
* Pia fimbo ya chuma inaelezea adhabu ya Mungu kwa watu wanaomuasi na kufanya mambo maovu.
* Hapo kale fimbo za kupimia zilizotengenezwa kwa chuma au mbao zilitumika kupimia urefu wa majengo.
* Katika Biblia fimbo ya chuma inaelezea kifaa cha kumfundishia adabu mtoto.