sw_tw/bible/other/rod.md

691 B

Fimbo

Ufafanuzi

Fimbo hiki ni kifaa chembamba kama fimbo kinachotumika kwa njia mbali mbali.

  • Fimbo ya mbao inatumiwa na mchungaji kuwalinda kondoo dhidi ya wanyama wengine. Pia kwa ajili ya kumrejesho katika kundi kondoo anayetangatanga.
  • Katika Zaburi ya 23 mfalme Daudi anatumia maneno fimbo na gongo kuelezea mwongozo wa Mungu na nidhamu kwa watu wake.
  • Fimbo ya mchungaji pia ilitumika kuhesabia mifugo.
  • Pia fimbo ya chuma inaelezea adhabu ya Mungu kwa watu wanaomuasi na kufanya mambo maovu.
  • Hapo kale fimbo za kupimia zilizotengenezwa kwa chuma au mbao zilitumika kupimia urefu wa majengo.
  • Katika Biblia fimbo ya chuma inaelezea kifaa cha kumfundishia adabu mtoto.