sw_tw/bible/other/reverence.md

10 lines
261 B
Markdown

# Heshima
## Ufafanuzi
Heshima ni hisia za kumuheshimu mtu au kitu kwa hali ya juu.
* Hisia za heshima zinaweza kuonekana kwa vitendo vinavyompa heshima mtu anayepokea.
* Hofu ya Mungu ni heshima ya ndani inayojionesha yenyewe katika utii wa amri za Mungu.