sw_tw/bible/other/reverence.md

261 B

Heshima

Ufafanuzi

Heshima ni hisia za kumuheshimu mtu au kitu kwa hali ya juu.

  • Hisia za heshima zinaweza kuonekana kwa vitendo vinavyompa heshima mtu anayepokea.
  • Hofu ya Mungu ni heshima ya ndani inayojionesha yenyewe katika utii wa amri za Mungu.