|
# sifa, mashuhuri
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Sifa ni kitendo cha kujulikana na kuwa na sifa.
|
|
|
|
* Mtu mashuhuri ni mtu anayejulikana na anayenyenyekewa.
|
|
* "Sifa" mara nyngi huwa nzuri na inayojulikana kwa mda mrefu.
|
|
* Mji wenye sifa mara nyingi hujulikana kwa utajiri wake na mali.
|
|
|