sw_tw/bible/other/renown.md

269 B

sifa, mashuhuri

Ufafanuzi

Sifa ni kitendo cha kujulikana na kuwa na sifa.

  • Mtu mashuhuri ni mtu anayejulikana na anayenyenyekewa.
  • "Sifa" mara nyngi huwa nzuri na inayojulikana kwa mda mrefu.
  • Mji wenye sifa mara nyingi hujulikana kwa utajiri wake na mali.