sw_tw/bible/other/rebuke.md

12 lines
415 B
Markdown

# Kukemea
## Ufafanuzi
Kukemea ni kitendo cha kumrekebisha mtu ili kumsaidia mtu yule kuacha dhambi.
* Katika agano jipya linawaamuru Wakristo wawakemee waamini wengine wanapoacha kumtii Mungu.
* Katika kitabu cha Mithali kinaelekeza wazazi kuwakemea watoto wao wanapoacha kuwa watii.
* Kukemea ni kumzuia mtu aliyetenda dhambi asirudie tena kutenda dhambi.
* Kukemea pia kunaweza kutafsiriwa kama marekebisho.