sw_tw/bible/other/rebuke.md

415 B

Kukemea

Ufafanuzi

Kukemea ni kitendo cha kumrekebisha mtu ili kumsaidia mtu yule kuacha dhambi.

  • Katika agano jipya linawaamuru Wakristo wawakemee waamini wengine wanapoacha kumtii Mungu.
  • Katika kitabu cha Mithali kinaelekeza wazazi kuwakemea watoto wao wanapoacha kuwa watii.
  • Kukemea ni kumzuia mtu aliyetenda dhambi asirudie tena kutenda dhambi.
  • Kukemea pia kunaweza kutafsiriwa kama marekebisho.