sw_tw/bible/other/provoke.md

10 lines
358 B
Markdown

# Chochea
## Ufafanuzi
Neno "kuchochea" linamaanisha kumsababisha mtu apate hisia hasi.
* Kumchochea mtu kwenye hasira inamaanisha kufanya kitu kitakachosababisha mtu huyo apate hasira. Hii inaweza kutafsiriwa kama "kumsababishia mtu apate hasira."
* Unapokutana na maneno kama "usimchochee " maneno haya yaweza kutafsiriwa kama "usimsababishie hasira."