sw_tw/bible/other/provoke.md

358 B

Chochea

Ufafanuzi

Neno "kuchochea" linamaanisha kumsababisha mtu apate hisia hasi.

  • Kumchochea mtu kwenye hasira inamaanisha kufanya kitu kitakachosababisha mtu huyo apate hasira. Hii inaweza kutafsiriwa kama "kumsababishia mtu apate hasira."
  • Unapokutana na maneno kama "usimchochee " maneno haya yaweza kutafsiriwa kama "usimsababishie hasira."