sw_tw/bible/other/proverb.md

13 lines
409 B
Markdown

# Methali
## Ufafanuzi
Methali ni sentensi fupi zinazoelezea hekima au kweli.
* Methali zina nguvu kwa sababu ni rahisi kukumbukwa na kurudiwa.
* Mara nyingi methali hujumuisha mifano ya maisha ya kila siku.
* Mithali nyingine zipo wazi na nyingine ni ngumu kuzielewa.
* Mfalme Sulemani alifahamika kwa hekima zake na aliandika mithali 1,000.
* Yesu pia alitumia mithali au mifano katika mafundisho yake.