sw_tw/bible/other/proverb.md

409 B

Methali

Ufafanuzi

Methali ni sentensi fupi zinazoelezea hekima au kweli.

  • Methali zina nguvu kwa sababu ni rahisi kukumbukwa na kurudiwa.
  • Mara nyingi methali hujumuisha mifano ya maisha ya kila siku.
  • Mithali nyingine zipo wazi na nyingine ni ngumu kuzielewa.
  • Mfalme Sulemani alifahamika kwa hekima zake na aliandika mithali 1,000.
  • Yesu pia alitumia mithali au mifano katika mafundisho yake.