sw_tw/bible/other/proud.md

12 lines
463 B
Markdown

# Kiburi
## Ufafanuzi
Kiburi ni hali ya mtu kujifikiria mwenyewe na kudhani kuwa yeye ni bora kuliko wengine.
* Mtu mwenye kiburi huwa hakubali makosa yake. Sio mnyenyekevu.
* Kiburi kinaweza kusababisha usimtii Mungu katika njia nyingine.
* Pia kiburi kinaweza kuelezwa katika mtazamo chanya kwa mfano "kujivunia" kwa kitu ambacho mtu fulani amefanikiwa au "kujivunia" watoto wako.
* Mtu anaweza kujivunia kwa alichokifanya bila kuwa na kiburi juu ya hilo.