sw_tw/bible/other/prince.md

15 lines
805 B
Markdown

# Mkuu, Binti wa Mfalme
## Ufafanuzi
Mkuu ni mtoto wa kiume wa mfalme. Binti wa mfalme ni mtoto wa kike wa mfalme.
* "mkuu" imetumika mara nyingi kumuelezea kiongozi, mtawala au mtu mwenye nguvu.
* Kwa sababu ya utajiri wa Abrahamu alielezewa kama mkuu kwa Wahiti aliokuwa akiishi kati yao.
* Katika kitabu cha Danieli neno "mkuu" limetumika kuelezea roho chafu zilizokuwa zinatawala maeneo kama "wakuu wa uajemu" na "wakuu wa ugiriki."
* Katika kitabu cha Danieli pia malaika mkuu Mikaeli anazungumwa kama Mkuu.
* Pia katika Biblia Shetani anazungumzwa kama "mkuu wa ulimwengu huu."
* Yesu anaitwa "Mkuu wa amani."
* Katika Matendo ya mitume 2:26 Yesu anafananishwa na "Bwana na Kristo" Pia katika matendo ya mitume 5:31 anafananishwa kama "Mkuu na mwokozi" kuonesha maana kati ya "Bwana" na "Mkuu."