sw_tw/bible/other/pit.md

12 lines
462 B
Markdown

# Shimo
## Ufafanuzi
Shimo ni sehemu yenye kina kwenda chini iliyochimbwa kwenye ardhi.
* Watu hichimba shimo kwa lengo la kuweka mtego wa wanyama au kutafuta maji.
* Shimo pia linaweza kutumika kama sehemu ya muda ya kumuweka mfungwa.
* Mara nyingine shimo linazungumzwa kama jehanamu.
* Neno shimo pia hutumika kama lugha ya pivha kuonesha "shimo la uharibifu" ambayo huelezea kutekwa katika hali mbaya au kujiingiza katika dhambi na matendo ya uharibifu.