sw_tw/bible/other/pit.md

462 B

Shimo

Ufafanuzi

Shimo ni sehemu yenye kina kwenda chini iliyochimbwa kwenye ardhi.

  • Watu hichimba shimo kwa lengo la kuweka mtego wa wanyama au kutafuta maji.
  • Shimo pia linaweza kutumika kama sehemu ya muda ya kumuweka mfungwa.
  • Mara nyingine shimo linazungumzwa kama jehanamu.
  • Neno shimo pia hutumika kama lugha ya pivha kuonesha "shimo la uharibifu" ambayo huelezea kutekwa katika hali mbaya au kujiingiza katika dhambi na matendo ya uharibifu.