sw_tw/bible/other/patient.md

11 lines
425 B
Markdown

# Uvumilivu
## Ufafanuzi
Uvumilivu ni kitendo cha kupita katika wakati mgumu na kuwa na subira.
* Mtu akiwa na uvumilivu kwa mtu fulani inamaana kuwa anampenda yule mtu na atamsamehe kosa lolote ambalo mtu yule atafanya.
* Biblia inawafundisha watu wa Mungu kuwa wavumilivu wanapopitia magumu na kuwavumilia watu pia.
* Kwa sababu ya rehema zake Mungu anawavumilia watu wake japokuwa ni wenye dhambi wanaostahili adhabu.